Ikulu ya Marekani imekuwa ikitambulika kwa jina maarufu kama "White House". Ikuli hii ipo katika mji wa Washington, D.C.
Ujenzi wake ulianza tarehe 13 oktoba mwaka 1792,miaka 224 iliyopita na kumalizika tarehe 1.Novemba. 1800, miaka 216 iliyopita. Aliyechora ramani ya nyumba hii anaitwa Mwandisi James Hoban.
Ikuli hii imekuwa makazi ya maraisi wote wa Marekani kuanzia kwa John Adam mwaka 1800 hadi leo hii kwa Bwana Donald Trump. Neno "White house" huwa linatumika kuashiria vitendo vya raisi na washauri wake,kama "White house imetangaza kwamba...."
Raisi John Adams aliingia ikulu hii kwa Mara ya kwanza mwaka 1801. Mwaka 2017 ilitaja kuwa nyumba ya pili katika listi ya Umoja wa wachoraji wa majengo nchini Marekani (American Institute Of Architects).
Wednesday, 15 March 2017
Edius Katamugora
Hii ni blogu rasmi ya Edius Katamugora, hapa utajifunza maendeleo binafsi, utapata makala mbalimbali zinazohusu biashara, elimu, hamasa na maisha kwa ujumla. Karibu sana katika blogu hii.
0 comments:
Post a Comment