Tuesday, 25 October 2016

PANCHA SIO MWISHO WA SAFARI.

Habari mpedwa msomaji wa bideism,ni matumaini yangu kwamba hupo salama.
Leo nitaongelea mada inayoitwa "pancha sio mwisho wa safari".Ni Mara ngapi umekumbwa na matatizo ukaisi kushindwa na kukata tamaa?,pancha sio mwisho wa safari,matizo sio nukta,matizo ni mkato.
Nakubaliana na Michael Jordan aliyesema"siwezi kukubali kushindwa,naweza kushindwa kujaribu" tusikubali kushindwa.
"Katika nchi yangu kwanza unakwenda jela  alafu unakua raisi" in maneno ya Nelson Mandela
Ivyo basi tusikate tamaa pale tunapokumbwa na matatizo,tukaze moyo na kuchangamka,kwani matatizo ni fursa inayoonwa na wachache.

Ni  mimi ndugu na rafiki yako Eddy Bide
Email: ekatamugora@gmail.com
Whatsapp: 0625951842

"See you at the top"

Hii ni blogu rasmi ya Edius Katamugora, hapa utajifunza maendeleo binafsi, utapata makala mbalimbali zinazohusu biashara, elimu, hamasa na maisha kwa ujumla. Karibu sana katika blogu hii.