Habari mpendwa msomaji wa Bideism Blog.
Ni matumaini yangu makubwa yakwamba siku yako imekwenda sawa.

Jana nimezungumzia sehemu ya kwanza ya namna ya kupata mtaji wa biashara au kuanzisha biashara kwa fedha kidogo.
Kama hukusoma makala ya Jana bofya Hapa: Nitaanzisha biashara yangu 2017 IV
4) Uwezo uliojijengea.
Hapa tunahitaji kutofautisha elimu na uwezo uliojijengea. Mfano Mimi naweza kuwa mhamasishaji na mwandishi wa vitabu, lakini haya yote sijapata kujifunza darasani.

Leo hii naandika vitabu na naweza kuyagusa maisha ya watu wengine na wananilipa pesa kwa kile ninachokifanya.
5) Jinsi ulivyo.
Kila mwanadamu kaumbwa kwa utofauti. Maumbile yako ya mwili na jinsi ulivyo vinaweza kuwa mtaji tosha wa kuanza biashara yako. Mfano kama wewe ni baunsa unaweza kupata kazi ya ulinzi.

Pili ukimuangalia mtu kama Joti jinsi alivyo lazima ucheke tu. Kumbe jinsi ulivyo unaweza kuwa mtaji tosha wa kuanza biashara yako.
6. Kitu unachokipenda sana (Passion)
Kitu unachokipenda kinaweza kikakufanya wewe kufurahja kila kitu hata ukawa tayari kukutana na vikwazo na kuvikabili, halafu uko tayari hata kusonga mbele hata kama utakutana na matatizo mengi.

Ndimi:
Edius Katamugora
Mwandishi na mjasiriamali
0764146476
Edius Katamugora
Mwandishi na mjasiriamali
0764146476
0 comments:
Post a Comment