Tuesday, 28 April 2020

Kitabu: Chuo Kikuu Cha Google, LinkedIn na YouTube

Upo kwenu na bado unatumia sabuni ya kuogea ya familia, vocha mpaka upige mzinga. Hayo sio maisha yako kijana mwenzangu.

Kitabu hiki kitakufungulia njia za kutengeneza pesa utakazo kupitia mitandao za kijamii. Vishida vidogo vidogo vinavyohusu pesa ukishasoma kitabu hiki utaanza kuvimaliza mwenyewe bila kuwataarifu wazazi wako.

Kitabu hiki ukikisoma ni marufuku kuomba vocha tena sijui kwa mama, dada, baba, kaka wala mjomba. Nasema ni marufuku.


Tena unaweza kushangaa inakuwa ajira yako ya muda wote kwenye kizazi hiki ambacho kinasema kazi hamna.

Habari njema ni kwamba kinapatikana bure kabisa. Waliokisoma kila kitu kwao kimeanza kunadilika.

Kukipata tuma neno PDF kupitia WhatsApp 0758594893.

Soma hapa shuhuda za waliosoma kitabu hiki;

"Hongera kwa kazi nzuri kaka, kitabu chako kina nifunza mengi ambayo sikuyajua hapo kabla."

"Aisee kitabu chako cha Chuo Kikuu cha YouTube, LinkedIn na Google kina mengi ya kujifunza nimejifunza mengi."

"Kaka nashukuru kwa kujitoa kwako kusaidia vijana wa kizazi hiki Leo Hii kwa mara ya kwanza nimesoma kitabu chako cha Chuo Kikuu cha Google, LinkedIn na YouTube. Ni bonge la kitabu. Hongera Sana."



"Bro wewe ni kiboko hii ngoma ni tamu kuliko vitabu vingine vyote." Sotery

"Asante sana kaka Edius. Nimekimaliza kukisoma now. 

Madini tupu. Nimejifunza vingi sana, nguvu ya wateja 1000, fb ya watoto, hadi JOMO na FOMO😀 Nitabadilika kwa kweli. 

Salute kwako👏🏽👏🏽👏🏽" Naamala Samson

"Asante sana ndugu yangu 
Nami nakisambaza kwa wengine pia. 
Umetusitiri wengi mwalimu wangu { Wewe wajua 😅}
Shombeza Kaka Edius" Raymond Mgeni

"Kaka nmefurahi Kuna rafiki angu kaniuliza juu ya LinkedIn nmemuelekezea kaelewa vizuri na kitabu nmemtumia😊akaelewe vizuri zaidi." Diana Roman

Mambo utakayojifunza katika kitabu hiki;

CHUO KIKUU CHA GOOGLE, LINKEDIN Na YouTube

Ndani ya Kitabu hiki utajifunza yafuatayo:

1. Namna ya Kujenga Brand yako Mtandaoni

2. Kwanini Google, LinkedIn na YouTube vinaitwa Vyuo Vikuu

3. Uwezo wa Kuuza bidhaa kupitia mitandao ya kijamii

4. Namna ya kuitumia WhatsApp yako kutengeneza pesa/kipato.

5. Wakati ujao wa Intaneti (The Internet is the future)

6. Kwanini Haupaswi kuidharau Facebook

7. Utawafahamu Kizazi Y & Z ( Bila kuwafahamu hawa sahau kuhusu kuwa na bidhaa au huduma yenye mafanikio mtandaoni)

8. Kwanini kuwa na wafuasi wengi mtandaoni sio kigezo cha kupata wateja wengi au kuwa mtu wa hamasa.

9. Tatizo wanalokumbana nalo wale wanaoamka na kushika simu zao mara tu watokapo vitandani.


Edius Katamugora
Content creator
Creative Writer
0764145476

Hii ni blogu rasmi ya Edius Katamugora, hapa utajifunza maendeleo binafsi, utapata makala mbalimbali zinazohusu biashara, elimu, hamasa na maisha kwa ujumla. Karibu sana katika blogu hii.

0 comments: