Saturday 29 April 2017

Nguzo Tatu Za Maisha (Three pillars of life)

Nguzo tatu za maisha ni Kitabu kilichoandikwa na ndugu Lazaro Samweli. 

Nguzo tatu za maisha zilizoongelewa hapa ni 1)Maendeleo binafsi
2)Mahusiano
3) ujasiriamali na biashara

Ama kweli ni Kitabu kinachoongelea maisha kwa ujumla. Usisite kutafuta nakala yako. Popote ulipo Tanzania utaletewa Kitabu hiki. Bei yake ni shilingi 10000. Karibu sana

Kwa Mbeya tuwasiliane: 0764145476/0625951842

"Kimuingiacho mtu ndani ndicho kimtokacho."

Hii ni blogu rasmi ya Edius Katamugora, hapa utajifunza maendeleo binafsi, utapata makala mbalimbali zinazohusu biashara, elimu, hamasa na maisha kwa ujumla. Karibu sana katika blogu hii.

0 comments: