Wednesday, 12 April 2017

Tuesday, 4 April 2017

Saturday, 1 April 2017

Monday, 27 March 2017

Wednesday, 22 March 2017

Monday, 20 March 2017

Wednesday, 15 March 2017

Usilolijua Kuhusu White House (Ikulu Ya Marekani)
Ikulu ya Marekani imekuwa ikitambulika kwa jina maarufu kama "White House". Ikuli hii ipo katika mji wa Washington, D.C.

Ujenzi wake ulianza tarehe 13 oktoba mwaka 1792,miaka 224 iliyopita na kumalizika tarehe 1.Novemba. 1800, miaka 216 iliyopita. Aliyechora ramani ya nyumba hii anaitwa Mwandisi James Hoban.

Ikuli hii imekuwa makazi ya maraisi wote wa Marekani kuanzia kwa John Adam mwaka 1800 hadi leo hii kwa Bwana Donald Trump. Neno "White house" huwa linatumika kuashiria vitendo vya raisi na washauri wake,kama "White house imetangaza kwamba...."

Raisi John Adams aliingia ikulu hii kwa Mara ya kwanza mwaka 1801. Mwaka 2017 ilitaja kuwa nyumba ya pili katika listi ya Umoja wa wachoraji wa majengo nchini Marekani (American Institute Of Architects).

Tuesday, 14 March 2017

Monday, 13 March 2017

Sunday, 12 March 2017

Bustani Zinazoelea (Hanging Gardens of Babylon)
Bustani zinazoelea kwa Nina maarufu la "hanging gardens of Babylon" ni mojawapo kati ya maajabu saba ya dunia. Zilinasadikika kuwa zilikuwa mji wa Babylon ambao leo ni Iraq.

Zilijengwa mwaka 600BC na zilikuwa na urefu wa mita 24.

Aliyezijenga alikuwa ni mfalme Nebuchadnezzar wa pili kwa mke wake aliyeitwa Amytis. Amytis mtoto wa mfalme wa Medes  aliolewa kwa Nebuchadnezzar ili kuleta ushirikiano baina ya pande mbili.

Amyitis alitokea sehemu iliyokuwa na milima na yenye kijani kibichi. Alipoolewa kulikuwa tambarale na hakukuwa na kijani kibichi. Hivyo Nebuchadnezzar aliamua kumtengenezea bustani juu ya jengo ili kumfurahisha mke wake.



Saturday, 11 March 2017

Burj Khalifa; Jengo refu kuliko yote duniani
Burj Khalifa ndilo jengo refu kuliko yote duniani hadi hivi sasa. Nimekuwekea maelezo kidogo kuhusu jengo hilo lilipo nchini Dubai;
Former namesBurj Dubai
Record height
Tallest in the world since 2008[I]
Preceded byTaipei 101
General information
StatusComplete
TypeMixed-use
Architectural styleNeo-futurism
Location1 Sheikh Mohammed bin Rashid Boulevard,DubaiUnited Arab Emirates
Coordinates25°11′49.7″N55°16′26.8″E
Construction started6 January 2004
CompletedIntended: September 2008; Revised: 2 December 2009[1]
Opened4 January 2010[2]
CostUSD $ 1.5 billion[3]
Height
Architectural828 m (2,717 ft)[4]
Tip829.8 m (2,722 ft)[4]
Roof828 m (2,717 ft)
Top floor584.5 m (1,918 ft) (Level 154)[4]
Observatory555.7 m (1,823 ft) (Level 148)[4]
Technical details
MaterialGlass, steel, aluminium, reinforced concrete
Floor count163 above ground. 154 usable floors[4][5]
plus 9 maintenance levels (46 spire levels)[6] and 2 below-ground parking levels
Floor area309,473 m2(3,331,100 sq ft)[4]
Lifts/elevators57 (55 single deck and 2 double deck), made by Otis Elevator Company
Design and construction
ArchitectAdrian Smith atSOM
DeveloperEmaar Properties[4]
Structural engineerBill Baker at SOM[7]
Main contractor

Endelea kutizama blogu yetu hupate updates mpya kuhusu ujenzi.


Friday, 10 March 2017

Thursday, 9 March 2017